Tanzania Logo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Idara ya Uhamiaji

Immigration Logo
Nyumbani

Mfumo wa WaloweziTanzania

Hii ni huduma inayomuwezesha muombaji kujaza Fomu ya Maombi ya Kibali cha Walowezi kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu naye kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yake ya Kibali cha Walowezi.

Jaza ombi

Kwa Mwombaji anayeanza kujaza fomu ya maombi ya Kibali cha Walowezi kwa njia ya kielektroniki.

Endeleza Ombi

Kwa Mwombaji ambaye alishajaza fomu ya maombi ya Kibali cha Walowezi na kufikia hatua ya kupatiwa Namba ya Ombi.

Ufuatiliaji Ombi

Angalia hali na maendeleo ya ombi lako la kupatiwa Kibali cha Walowezi ulilowasilisha.